HomesimbaSportsYangaYANGA 2 KABLA YA KUKUTANA NA SIMBA AGOSTI 23
YANGA KUANZA NA 2 KABLA YA KUKUTANA NA SIMBA AGOSTI 23
Klabu ya Yanga kupitia Kaimu Afisa habari wa Timu Hiyo Godlisten Anderson Chicharito imetoa Ratiba Ya Michezo ya Kirafiki kabla ya kukutana na Simba Kwenye Ngao Ya Hisani. Yanga itacheza Mechi mbili dhidi ya Ruvu Shooting na dhidi ya Mlandege kutoka Zanzibar