-Aliyekuwa winga wa klabu ya Yanga Saimoni Msuva, ameondoka Leo alfajiri mida ya saa 11:00 kuelekea nchini Morocco kujiunga na timu yake mpya ya El Jadida inayoshiriki ligi kuu nchini Morroco. EL Jadida ndio timu ndio aliyojiunga Mtanzania Ramadhani Singano Messi
Lorem ipsum dolor sit amet, te decore causae disputationi ius. Ex per viris malorum. Vix et simul signiferumque. Meliore molestiae suscipiantur sed no, vim id animal oportere quaerendum, munere dolores est eu. Iudico invenire eum ad, id populo complectitur disputationi his.
Katika mapambano ya kutetea watoto wa kike wenye kunyimwa fursa za kusoma na kutimiza ndoto zao MOMEC production ikaamua kuja na moja kati ya hadithi zake za kweli zilizowahi kutokea miongoni mwa mabinti wadogo